Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Wawakilishi wa Iran wamechukua nafasi kadhaa za juu katika mashindano ya mtandaoni ya Qur’ani Tukufu yaliyoandaliwa na Iraq.
Mashindano hayo yalipewa anuani ya "Walshafi Walwitr" ( Na kwa viwili viwili na kimoja kimoja) ambayo inarejelea aya ya 3 ya Surah Al-Fajr.
Habari ID: 3477839 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/04
TEHRAN (IQNA) – Binti Muirani, Hannaneh Khalafi , ambaye ametajwa kuwa bingwa wa Qur'ani, ataanza kutoa mafunzo ya kuhifadhi Qur'ani kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3473495 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/26